MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BUMBWINI.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa uchaguzi ujao wa Zanzibar utaendeshwa kwa fedha…

Soma Zaidi

KONGAMANO LA AMANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema juhudi za Serikali katika kuwahamasisha na kushirikiana na wananchi pamoja na Asasi mbali mbali kwa…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEAGWA SUZA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein , amelitaka Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) kuendelea kushirikiana na kuongeza bidii na ubunifu katika kuiendeleza…

Soma Zaidi

Dk.Shein amefungua Jengo jipya la Biashara la “Michenzani Mall”,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali imejenga jengo la biashara la “Michenzani Mall” ili wananchi waingie katika utaratibu wa…

Soma Zaidi

Mafanikio yanayopatikana katika sekta ya Miundombinu ni kuyaenzi Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa mafanikio yanayoendelea kupatikana katika sekta ya miundombinu ni kielelezo cha kuyaendeleza Mapinduzi…

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofan

MKUTANO WA CCM MAKUNDUCHI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Dola na hivyo amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho…

Soma Zaidi