UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA DK. JOHN POMBE MAGUFULI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wazee kuendelea kusimamia malezi ya watoto wao, wakati huu vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia vikiwa vimeshamiri…

Soma Zaidi

Dk Shein amezindua kitabu cha Mwalimu bora wa Soka

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua kitabu cha “Mwalimu bora wa Soka’ na kusema kuwa kitabu hicho ni chuo kwa wachezaji wa mpira wa miguu…

Soma Zaidi

Dk. Shein amewatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ na kuwapongeza kwa kufanikiwa katika mafunzo hayo.Dk. Shein aliwatunuku…

Soma Zaidi

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BUMBWINI.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa uchaguzi ujao wa Zanzibar utaendeshwa kwa fedha…

Soma Zaidi

KONGAMANO LA AMANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema juhudi za Serikali katika kuwahamasisha na kushirikiana na wananchi pamoja na Asasi mbali mbali kwa…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEAGWA SUZA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein , amelitaka Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) kuendelea kushirikiana na kuongeza bidii na ubunifu katika kuiendeleza…

Soma Zaidi

Dk.Shein amefungua Jengo jipya la Biashara la “Michenzani Mall”,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali imejenga jengo la biashara la “Michenzani Mall” ili wananchi waingie katika utaratibu wa…

Soma Zaidi

Mafanikio yanayopatikana katika sekta ya Miundombinu ni kuyaenzi Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa mafanikio yanayoendelea kupatikana katika sekta ya miundombinu ni kielelezo cha kuyaendeleza Mapinduzi…

Soma Zaidi