Mafanikio yanayopatikana katika sekta ya Miundombinu ni kuyaenzi Mapinduzi matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa mafanikio yanayoendelea kupatikana katika sekta ya miundombinu ni kielelezo cha kuyaendeleza Mapinduzi…
Soma Zaidi