Dk.Shein amewataka Viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu Wananchi juu ya maradhi ya KORONA
Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu wananchi juu ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya KORONA
Soma ZaidiDk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu wananchi juu ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya KORONA
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kufuatia kifo cha Waziri…
Soma ZaidiKwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Namba 13 ya Mwaka 2012, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki yaliyofanyika kijijini…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuacha ukaidi na kufuata kikamilifu maelekezo ya Serikali, ikiwa ni hatua za kuunga mkono juhudi…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hatua za India za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar zina imarisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria…
Soma ZaidiSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuchukua hatua za kuimarisha sanaa na kuendeleza utamaduni kwa kuwaendeleza wasanii kwa kuwaongezea taaluma ya kuzifanikisha shughuli zao.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti bint Saad kumtangaza mwanaharakati huyo pamoja na kuzitangaza kazi zake…
Soma Zaidi