RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea Ujenzhi wa Nyumba mpya za Mji wa Kwahani ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA ZA KWAHANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kabla ya Mapinduzi ya 1964, Wazalendo wa Zanzibar walibaguliwa kwa makaazi kutokana na uwezo duni walionao.

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein afungua Daraja la Kibondemzungu barabara ya Fuoni Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Mapinduzi yalikuwa ni lazima yatokee na kufanywa kutokana na dhulma zilizokuwepo hapa Zanzibar kutokana…

Soma Zaidi

Dk.Shein atunuku Nishani za Mapinduzi,Utumishi wa Umma na Ushujaa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi, Watumishi…

Soma Zaidi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa Wananchi wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa wananchi wake kama ilivyo kwa sekta…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameweka Jiwe la Msingi Tangi la Maji Saateni.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi kubwa katika kuendeleza miradi ya maji safi na salama na si muda mrefu changamoto ya upatikanaji huduma hiyo itakuwa ni historia.Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba

DK.SHEIN AMEFUNGUA MAJENGO YA SKULI TISA ZA SEKONDARI UNGUJA NA PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar imepata mafanikio makubwa katika sekta ya elimu, kutokana na misingi bora iliyowekwa na muasisi wa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi.

DK.SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BANDARI NA SOKO LA SAMAKI MALINDI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imo katika mchakato wa kutekeleza uchumi wa buluu na tayari hatua kubwa zinachukuliwa kuhakikisha…

Soma Zaidi

Dk.Shein aweka jiwe la mnsingi Mradi wa miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa ardhi iliyotengwa kwa ajili ya kilimo hapa Zanzibar ni vyema ikatumika kwa ajili ya shughuli hiyo…

Soma Zaidi