Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba   ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya.

DK.SHEIN AMEFUNGUA MAONESHO YA MIAKA 20 YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa eneo la Afrika Mashariki ni sehemu nzuri kiuchumi, iwapo utatumiwa vizuri ujuzi, maarifa, ubunifu pamoja…

Soma Zaidi

WAZEE WAMEMPONGEZA DK. SHEIN.

WAZEE wa CCM Wilaya ya Magharibi Unguja wameeleza kuridhishwa na uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia, ni Makamo Mwenyekiti wa CCM…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mjini patika mkutano wa ndani akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama leo katika ukumbi wa Ofisi

DK.SHEIN KATIKA ZIARA ZA KUIMARISHA CHAMA CHA CCM.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Serikali anayoiongoza itaendelea kuwatunza na kuwaenzi wazee ikiwa…

Soma Zaidi

UZINDUZI WA KITABU CHA MH. BENJAMIN WILLIAM MKAPA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo ameungana na viongozi mbali mbali wa Kitaifa katika uzinduzi wa Kitabu cha Maisha Binafsi ya Rais Mstaafu wa Jamhuri…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W.yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja

MAULIDI YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein jana aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINAADAM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Zanzibar imeweza kupiga hatua kiuchumi, kijamii na kisiasa kutokana na ushirikiano wa Mihimili yake mikuu…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA ZBC REDIO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Shirika la utangazaji Zanzibar (ZBC) kuwa na mipango madhubuti ya kuwapatia mafunzo wafanyakazi…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleze azma ya Serikali ya kuliimarisha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), pamoja na kuzingatia maslahi mazuri…

Soma Zaidi