DK.SHEIN AMEKUATANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar itaendelea kuthamini uhusiano na ushirikiano uliopo kati yake na Jamhuri ya Watu wa China sambamba…
Soma Zaidi