DK.SHEIN AMEFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA MAJAJI NA MAHAKIMU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amesema kwamba matumizi mazuri ya ardhi na usimamizi bora wa mazingira ni misingi muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote…
Soma Zaidi