UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi kwa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi kwa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Serikali ya Indonesia ya kuja kuekeza Zanzibar kupitia Makampuni na Mashirika yake ya Umma kutokana…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ni matokeo ya kutafsiri kwa vitendo dhamira ya…
Soma ZaidiWAZIRI wa Nchi (OR) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Issa Haji Ussi ‘Gavu’ amesema uamuzi wa Serikali wa kuwaomba washrika wa maendeleo kutoka China kufanya mafunzo ya Upishi na Ukarimu…
Soma ZaidiJAMHURI ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo kwa kuleta wataalamu kutoka nchini humo kuja kutoa mafunzo hapa…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alisema serikali ina wajibu wa kuwatunza na kusimamia Afya za wananchi, kwa kuhakikisha wanaondokana na maradhi mbali…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza kuongeza nafasi 60 badala ya 30 alizozitoa mwaka jana za udhamini wa masomo kwa wanafunzi bora wa Kidato…
Soma ZaidiJAMHURI ya Watu wa Cuba imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya na kuelezwa haja ya kutoa nafasi za masomo ya Udaktari Bingwa kwa Madaktari wa Zanzibar.
Soma Zaidi