DK. SHEIN AMEMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Khadija Khamis Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda.

Soma Zaidi

Uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Sadc

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa rasmi Uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya aliekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo…

Soma Zaidi

BARAZA LA IDD EL HAJJ.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewasisitiza wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutoa…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MOROGORO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephan Kebwe kufuatia ajali ya kuripuka kwa lori…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

DK. ALI MOHAMED SHEIN AMEFUNGA MAONESHO YA NNE YA WIKI YA VIWANDA YA SADC.

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaendelea kuchukua hatua za kisera na za kimkakati katika ujenzi wa uchumi wa viwanda ili Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza  Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso  Dos Santos wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha .

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MWAKILISHI WA UNESCO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza umuhimu wa kukuza uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shirika la Umoja…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Meli Mpya ya Mafuta ya MT.UKOMBO II,Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Ship

KUWASILI KWA MV MKOMBOZI II

HATIMAE ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyowaahidi wananachi wa Zanzibar kuwa Serikali anayoiongoza itanunua meli mpya ya mafuta MT MKOMBOZI…

Soma Zaidi