Dk.Shein amesisitiza Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi kuongeza kasi katika kufanya Utafiti
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuongeza kasi katika kufanya utafiti kwani sekta…
Soma Zaidi