RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya uongozi wa Makampuni ya Okan yenye makao makuu yake nchini Uturuki inayokusudia kujenga hospitali…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohammed Shein amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu nchini kuendeleza upendo na mshikamano, ili kuimarisha dini hiyo pamoja na kupata…
Soma ZaidiWANANCHI wanaoishi katika maeneo yenye shida ya maji Zanzibar wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kutekelezwa vyema agizo alilolitoa kwa…
Soma ZaidiWAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Moudline Castico ameipongeza jamii ya Wazanzibar kwa juhudi inazozichukuwa katika utunzaji wa familia, na hivyo kupunguza tatizo la utupaji…
Soma ZaidiWAZANZIBARI wametakiwa kuthamini na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kusimamia na kudumisha amani na utulivu uliopo nchini, hatua inayotowa fursa kwa waumini kuweza kuabudu bila taabu.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja na kuwataka waumini wa dini ya Kiislamu kuzidisha ibada…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,ameupongeza uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa kuendelea kuonesha taswira njema katika…
Soma Zaidi