RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019.

UCHUMI WA ZANZIBAR UMEIMARIKA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika sambamba na ukusanyaji mzuri wa mapato na matumizi yake.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein amesisitiza azma ya Serikali ya kuendelea kuwalipa asilimia 80 ya bei ya Karafuu katika soko la Dunia, ili kuwatia…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar , wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa Kipindi cha  Julai 2018 -Marchi 2019.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA AFYA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa chotocte kinachoingia nchini kwa ajili ya matumizi ya binaadamu zikiwemo dawa na vyakula ni lazima…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA KIBELE KATIKA FUTARI NYUMBANI KWAKE KIBELE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ameungana pamoja katika futari maalum aliyoiandaa yeye na familia yake kwa ajili ya wananchi mbali mbali wakiwemo…

Soma Zaidi

Dk.Shein amekutana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil nchini Tanzania Antonio A.Cesar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuendeleza ushirikiano uliopo kati ya Zanzibar na Brazil kwa maslahi ya wananchi wa…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewanasihi wafanyabiashara kuwa waadilifu na kuwafanyia wanunuzi tahafifu za bei.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amewanasihi wafanyabiashara kuwa waadilifu katika kuwafanyia wanunuzi tahafifu za bei za bidhaa na huduma nyenginezo…

Soma Zaidi

Dk.Shein,ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya Dk.Reginald Abraham Mengi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa IPP Media kufuatia kifo cha Mwenyekiti…

Soma Zaidi

Uzinduzi wa Ofisi za SMZ Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa miongoni mwa malengo makuu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuona kwamba watumishi wa umma wanafanya…

Soma Zaidi