RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwatunuku Shahada ya Uzamili ya Sanaa ya Kiswahili.

MAHAFALI YA 14 YA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) kina dhima kubwa ya kutoa taaluma bora inayoambatana na kufanya tafiti kwa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashari Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi kushoto na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu

RAIS WA ZANZIBAR AMEZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka 55 ni vyema misingi ya Muungano ikaendelezwa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Michezo la Jumuiya ya Madola Bi. Dame Louis Martin, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo

DK. SHEIN AMELIPONGEZA SHIRIKISHO LA MICHEZO LA JUMUIYA YA MADOLA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amelipongeza Shirikisho la Michezo la Jumuiya ya Madola (IOC), kwa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Viongozi na Wananchi katika Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AMEONGOZA WANANCHI KATIKA HITMA YA MZEE KARUME.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Alim Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Maryam Mtende Wilaya ya Kusini Unguja kushoto Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Nd Said Salim Bakhressa.

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AMEFUNGUA MSIKITI KIJIJI CHA MTENDE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waumini wa Dini ya kiislamu nchini kujiepusha na migogoro katika kusimamia uendeshaji wa huduma za misikiti…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Michoro wa Majengo  inayotarajiwa kujengwa katika eneo la Bungi Kwa Bihole sehemu ya historia,Wilaya ya Kati Unguja.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KAMISHENI YA UTALII.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza haja ya Kamisheni ya Utalii kutoa elimu ya historia ya Utalii hapa Zanzibar ili kuujua unakotoka na unakokwenda…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Msingi na Maandalizi ya Fuoni Pangawe Wilaya ya Magharibi B Unguja.

DK. SHEIN AMEFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI NA MSINGI FUONI PANGAWE WILAYA YA MAGHARIBI “B” UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka walimu kote nchini kuwa wabunifu na kujiendeleza kitaaluma ili waweze kukidhi mahitaji ya kielimu na kwenda…

Soma Zaidi