RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Msingi na Maandalizi ya Fuoni Pangawe Wilaya ya Magharibi B Unguja.

DK. SHEIN AMEFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI NA MSINGI FUONI PANGAWE WILAYA YA MAGHARIBI “B” UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka walimu kote nchini kuwa wabunifu na kujiendeleza kitaaluma ili waweze kukidhi mahitaji ya kielimu na kwenda…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.

DK. SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Program ya Kujitolea ya

Dk.Shein Amezungumza na Mratibu Mkuu wa Programu ya Kujitolea ya Umoja wa Mataifa (UNV).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Umoja wa Mataifa (UN) kupitia programu yake ya kujitolea ya Umoja huo (UNV) kwa kuendea kuiunga…

Soma Zaidi

UFUNGAJI WA SEMINA YA KITAIFA KUHUSU MASUALA YA ARDHI NA RASILIMALI ZISIZOREJESHEKA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi Dk. Ali MohAmedShein,amewataka wadau wanaotunza na kusimamia rasilimali za ardhi kufanyakazi kwa uzalendo kwa kuzingatia misingi ya uaminifu,…

Soma Zaidi

Dk.Shein: Watu hawaziheshimu na hawazifuati sheria za ardhi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa licha ya kuwepo Sheria tisa zinazohusiana na matumizi bora na endelevu ya ardhi hapa Zanzibar lakini…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Soma Zaidi

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibr kama ifuatavyo:-

Soma Zaidi