RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano wa

DK.SHEIN AMEKUTANA NA RAIS WA KENYA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alisema kuwa Kenya na Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jumla zina uhusiano wa kihistoria na kindugu ambao ni lazima uimarishwe…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KAIMU MKURUGENZI WA UN ENVIRONMENT

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SEYCHELLES

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Seychelles Mheshimiwa Danny Faure katika ukumbi wa Hoteli ya Intercontinental…

Soma Zaidi

MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Sheria namba 10 ya mwaka 2017 ya Baraza la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZNBC) kutaimarisha…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amezipongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE LA JAMUHURI YA WATU WA CHINA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi ya…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi  wa kliniki ya Meno ambayo katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,kliniki hiyo inaendeshwa kwa usimamizi

UZINDUZI WA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kuwa Hospitali ya Kivunge na Hospitali ya Makunduchi ambazo zote ni Hospitali za Koteji zifutwe na…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala alipowasili katika  ufungaji wa kampeni za CCM za Uwakilishi jimbo la

UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM ZA UWAKILISHI JIMBO LA JANG’OMBE

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kinachotakiwa siku ya Oktoba 27, 2018 katika uchaguzi mdogo wa Jimbo…

Soma Zaidi