.Dk. Shein kuimarisha sekta ya michezo.
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atakapoingia madarakani katika awamu…
Soma ZaidiMgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atakapoingia madarakani katika awamu…
Soma ZaidiViongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamewataka wananchi wa Kiwani kutodanganyika na kutofanya makosa ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakitoa ahadi zisizoweza kutekelezeka.Viongozi…
Soma ZaidiMgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kumpa tena fursa ya kuongoza ili waendelee kushirikiana kuijenga Zanzibar.Amesema katika…
Soma ZaidiMgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema suala la mafuta kutolewa katika mambo ya muungano ni matokeo ya jitihada za pamoja kati ya Serikali ya Mapinduzi…
Soma ZaidiMgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kumchagua tena kushika nafasi hiyo huku akiwahakikishia vijana, wazee, wanawake…
Soma ZaidiVIONGOZI wa CCM Zanzibar wamewataka wananchi wa Zanzibar kuendeleza amani, utulivu na mshikamano uliopo na kuwaonya wale wote wanaokusudia kufanya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu wajue kuwa Serikali…
Soma ZaidiMgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameahidi endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena atahakikisha vita dhidi ya rushwa na uhujumu uchumi vinaimarishwa.…
Soma ZaidiVIONGOZI wa CCM Zanzibar wameeleza kuwa hoja inayotolewa na chama cha CUF ya kutaka kuleta Mamlaka Kamili ni dhamira ya kumrejesha Sultan kuja kuiongoza Zanzibar kwa njia ya mlango wa nyuma.Viongozi…
Soma Zaidi