Mazoezi yaambatane na kupima afya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa pamoja na wananchi kufanya mazoezi hawana budi kuzingatia suala la kupima afya zao mara kwa mara na…

Soma Zaidi

Salamu za mwaka mpya wa 2015 kwa Wananchi.

Risala ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali mMohamed Shein,ya kuukaribisha mwaka mpya 2015. Ndugu Wananchi, Kwa neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, Subhana Wataala…

Soma Zaidi

Dk.Shein amepokea gwaride la wanariadha kutoka Wilaya kumi za Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepokea gwaride la wanariadha kutoka Wilaya kumi za Zanzibar na kuwataka washiriki vizuri pamoja na waamuzi kutenda…

Soma Zaidi

Dk.Shein akabidhi vifaa vya mchezo wa riadha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhi vifaa kwa ajili ya mashindano ya taifa ya riadha na kuahidi kuwa hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa…

Soma Zaidi

Ulipaji na ukusanyaji kodi ndio utakaowezesha Serikali kukabiliana na changamoto za maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini kwa kuwa ndio utakaowezesha Serikali kukabiliana…

Soma Zaidi

Tafiti vyuo Vikuu zilenge kuleta ufanisi utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Nchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa utanuzi wa mitaala, ufundishaji na ufanyaji wa tafiti katika vyuo vikuu hauna budi kuelekezwa katika kufatuta…

Soma Zaidi

Ni wajibu kwa Serikali kuwapelekea wananchi wake huduma bora za kijamii,kiuchumi na maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua umeme katika kijiji cha Dongongwe,Mkoa wa Kusini Unguja na kusema kuwa Serikali kuwapelekea huduma bora za…

Soma Zaidi

Zanzibar State House

Soma Zaidi