DK. Shein aenda Uingereza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kwenda Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.

Soma Zaidi

Tutaendelea na jitihada za kujenga mazingira yatakayoihakikishia Zanzibar amani na utulivu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyo chini ya Mfumo wa Umoja wa Kitaifa itaendelea na jitihada…

Soma Zaidi

Dk Shein amtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Misri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia Salamu za Pongezi Rais Mpya wa Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El- Sisi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Misri…

Soma Zaidi

Madras zitumike kuimarisha maadili na umoja miongoni mwa Waislamu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewakumbusha waumini wa dini ya kiislamu kuendeleza utamaduni wa kuzitumia madrasa kuwa kitovu cha kuimarisha…

Soma Zaidi

Mawaziri jibuni maswala ya wajumbe wa Baraza kwa hoja na kwa umakini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu wa mawaziri kujibu maswali yanayoulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na kwa umakini…

Soma Zaidi

Jamii ijielekeze kwenye matumizi ya Tekinohama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema wakati Serikali imeelekeza nguvu zake katika kujenga miundombinu ya mifumo ya tekinolojia ya habari na mawasiliano…

Soma Zaidi

DK. Shein amtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Malawi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia Salamu za Pongezi Rais Mpya wa Malawi Mheshimiwa Peter Mutharika kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Malawi kufuatia…

Soma Zaidi