Tumieni vyema fursa za huduma za jamii

Wananchi wametakiwa kuzitumia vyema fursa za huduma za jamii zinazopatikana hivi sasa katika maeneo yao zikiwa ni matunda ya utekelezaji wa malengo ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964.Wito huo…

Soma Zaidi

Sarafu maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepokea rasmi Sarafu ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar huko katika viwanja vya Meonesho ya Miaka…

Soma Zaidi

Tembeleeni maonyesho mjifunze historia ya Mapinduzi Zanzibar

Wananchi wa Zanzibar wametakiwa kuyatumia maonesho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya mwaka 1964 kujifunza historia na malengo ya Mapinduzi hayo pamoja na mafanikio na changamoto zinazowakabili katika…

Soma Zaidi

Dk.Shein,amtumia salamu za rambi rambi Dk.Kikwete.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia Salamu za Rambirambi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha…

Soma Zaidi

Tuko tayari kushirikiana kuendeleza michezo ya Karate nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar iko tayari kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Michezo ya Karate ulimwenguni ili kukuza vipaji…

Soma Zaidi

Wananchi jengeni utamaduni wa kufanya mazoezi kuimarisha afya zenu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kujenga na kuendeleza utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao pamoja na kujikinga na…

Soma Zaidi

Dk Shein ampongeza Kikwete kwa kusimamia vyema mchakato wa mabadiliko ya katiba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuliongoza na kusimamia kwa busara,…

Soma Zaidi