Dk.Shein ameongoza maelfu ya wananchi katika mazishi ya Padri Evaristitus Mushin huko Kitope

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza maelfu ya wananchi katika mazishi ya Padri Evarist Mushi huko Kitope, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini…

Soma Zaidi

Dk.Shein amepokea kwa mshtuko mauaji ya Padri Evaristitus Mushin

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, amepokea kwa mshtuko mauaji ya Padri Evaristitus Mushin na kutoa pole kwa waumini, ndugu jamaa, marafiki na wananchi…

Soma Zaidi

Canada na Cuba zaahidi kuimarisha uhusiano na ushirikiano kwa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa nyakati tofauti, alikutana na Mabalozi wa nchi za Canada na Cuba ambapo walizungumzia masuala mbalimbali ya uhusiano…

Soma Zaidi

Wananchi wametakiwa kuitumia fursa ya kupata vitambulisho vya Taifa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi wote kuitumia fursa ya kupata vitambulisho vya Taifa kwani ni haki yao ya kikatiba na kuwasihi…

Soma Zaidi

Waumuni wa dini ya Kiislamu wametakiwa kufuata maadili na mwenendo wa Mtume Mohammad (S.A.W)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waumuni wa dini ya Kiislamu kufuata maadili na mwenendo wa Mtume Mohammad (S.A.W) na kuwafunza watoto…

Soma Zaidi

Dk.Shein amekutana na ujumbe kutoka kituo cha Biashara Duniani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ICT), na kueleza kuwa hatua za kutumia tasnia ya malibunifu…

Soma Zaidi

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuviripoti vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika vyombo vinavyohusika ili sheria…

Soma Zaidi

Dk.Shein akabithiwa mipira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhiwa mipira na Kamati ya Ugawaji Mipira chini ya mradi wa ‘One World Football For Africa’ na kusisitiza…

Soma Zaidi