Uimarishaji huduma za afya uendane na upatikanaji wa dawa ambazo zimetunzwa kwenye mazingira mazuri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua Bohari ya Dawa na kueleza kuwa uimarishaji wa huduma za afya lazima uendane na upatikanaji wa dawa ambazo…

Soma Zaidi

Dhamira ya SMZ ni kuona kila mfanyakazi wa Serikali anaendeleza shabaha ya Mapinduzi ya Zanzibar.

DHAMIRA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar awamu ya saba kama ilivyokuwa kwa awamu zilizotangulia ni kuona kila mfanyakazi anaendeleza shabaha ya Mapinduzi na kunufaika na matunda yake ikiwa…

Soma Zaidi

Mahafali ya nane Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),kuendelea kutoa mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia mahitaji…

Soma Zaidi

Waekezaji wa Belgium wametakiwa kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Belgium nchini Tanzania Mhe. Adam Koenraad na kumueleza jinsi Serikali inavyoimarisha…

Soma Zaidi

Kore yaahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya kilimo cha mpunga wa kumwagilia maji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Mhe.Chung IL, na kumueleza kuwa hatua ya nchi hiyo kuiunga…

Soma Zaidi

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi yake

OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeeleza kuwa miongozo na maelekezo inayoyapata kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein imekuwa…

Soma Zaidi

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais

OFISI ya Makamu wa Pili wa Rais imeeleza kuwa Dira yake kubwa ni kuwa na Serikali yenye kutoa huduma bora kwa jamii na yenye muhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein azindua sensa ya miti

WIZARA ya Kilimo na Maliasili na Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,Baraza la Mainispaa Zanzibar, Mabaraza ya miji Pemba na Hamlashauri zote za Wilaya zimetakiwa kushirikiana katika kuimarisha…

Soma Zaidi