Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati,itahakikisha inatoa huduma bora kwa wananchi

Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati imeeleza mikakati yake katika kuhakikisha malengo iliyojiwekea yanafikiwa kikamilifu kwa mashirikiano ya pamoja ili kutoa huduma zilizo bora kwa wananchi.Maelezo…

Soma Zaidi

Tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali za Serikali litapatiwa ufumbuzi muda mfupi ujao

WIZARA ya Afya imeeleza azma yake ya kuhakikisha tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar linapatiwa ufumbuzi wa haraka kwa muda mfupi ujao Maelezo hayo…

Soma Zaidi

Dk.Shein amemuapisha Jaji wa Mahkama Kuu Mhe. Adulhakim Ameir Issa kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Jaji wa Mahkama Kuu Mhe. Adulhakim Ameir Issa kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar

Soma Zaidi

Dk.Shein amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za (UAE),kwa kutumiza miaka 41 yaTaifa hilo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kwa kutimiza miaka 41 ya Taifa hilo.

Soma Zaidi

Wafanyabiashara naWenyeviwanda nchini Vietnam wametakiwa kushirikiana naZanzibar katika sekta husika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda nchini Vietnam kushirikiana na Zanzibar katika sekta…

Soma Zaidi

Dk.Shein ametembelea Taasisi ya Utafiti wa Ufugaji wa Samaki mjini Hanoi,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea Taasisi ya Utafiti wa Ufugaji wa Samaki mjini Hanoi, Vietnam na kueleza kuwa Serikali ya Mapinduzi…

Soma Zaidi

Zanzibar na Vietinam zimetakiwa kuanzisha uhusiano na ushirikiano katika sekta ya afya

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein ameeleza haja ya kuanzishwa uhusiano na ushirikiano kati ya sekta ya afya ya Zanzibar na hospitali ya Taifa ya Watoto ya Vietnam katika maeneo ya…

Soma Zaidi

Dk.Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Vietnam Mhe.  Truong Tan Sang

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang ambapo kiongozi huyo wa Vietnam alieleza kuwa ziara…

Soma Zaidi