Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa matumizi ya mifumo ya Kielektronik kumechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la makusanyo ya mapato na kuimarisha Uchumi wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa matumizi ya mifumo ya Kielektronik kumechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la makusanyo ya mapato…
Soma Zaidi