Dk.Mwinyi amesema ufunguzi wa madarasa katika skuli ya msingi Sebleni,ni kielelezo cha dhamira ya Serikali katika kukabiliana na changamoto ya miundombinu inayozikabili skuli mbali mbali nchini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ufunguzi wa madarasa katika Skuli ya msingi Sebleni,ni kielelezo cha dhamira ya Serikali katika kukabiliana…
Soma Zaidi