Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili kisiwani Pemba leo kwa ziara ya kikazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili kisiwani Pemba leo kwa ziara ya kikazi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 58 ya Mapinduzi matukufu…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kufanya mazoezi ni kinga muhimu katika kukabiliana na changamoto zinazotokana na sababu za mfumo wa maisha ya binadamu uliopo hivi sasa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kufanya mazoezi ni kinga muhimu katika kukabiliana na changamoto zinazotokana na sababu za mfumo wa maisha…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakubaliana na hatua zilizochukuliwa na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kufanya masahihisho muundo wa Utumishi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakubaliana na hatua zilizoanza kuchukuliwa na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wajumbe wapya wa Tume ya Mipango ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wajumbe wapya wa Tume ya Mipango ya Zanzibar.Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni…

Soma Zaidi