Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kutafakari mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi cha miaka 29 tangu mfumo wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa kuanzishwa hapa nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kutafakari mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi cha miaka 29 tangu mfumo…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Uingereza kwa misaada mbali mbali inayoipatia Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Uingereza kwa misaada mbali mbali inayoipatia Zanzibar.Dk. Mwinyi ametoa shukrani hizo Ikulu…

Soma Zaidi