Alhaj Dk. Mwinyi amesema ugonjwa wa UVIKO-19 ulioikumba Dunia mbali ya kuathiri kiafya lakini umesababisha matatizo makubwa ya kiuchumi..

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ugonjwa wa UVIKO-19 ulioikumba Dunia mbali ya kuathiri kiafya lakini umesababisha matatizo makubwa ya…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba Serikali anayoiongoza ina lengo la kuhakikisha inajenga uchumi imara utakaoleta maendeleo kwa wananchi wote.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba Serikali anayoiongoza ina lengo la kuhakikisha inajenga uchumi imara utakaoleta maendeleo kwa wananchi…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa ndani. Tanzania (IIAT).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa Wakaguzi wa ndani kujikita zaidi kwenye utendaji badala ya kuishia kwenye vitabu hatua ambayo…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongeza kwa Umoja wa Maaskari Wastaafu (UMAWA),kwa kujenga chombo hicho ambacho kinawaweka pamoja askari waastaafu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongeza kwa Umoja wa Maaskari Wastaafu (UMAWA), kwa kujenga chombo hicho ambacho kinawaweka pamoja askari waastaafu.Rais…

Soma Zaidi