Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Haji Mkombe Ame.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu Mzee Haji Mkombe Ame aliyefariki jana na kuzikwa leo huko kijijini…
Soma Zaidi