Dk. Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Ze Dong, Zanzibar.
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania kimetakiwa kuangalia mitaala yake jinsi itakavyosaidia kuandaa Wataalamu watakaoweza kutekeleza dhamira ya kujenga uchumi mpya unaozingatia matumizi ya rasilimali…
Soma Zaidi