Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Masjid Kheir, Markaz ya Mombasa Zanzibar kwa kazi nzuri ya kutoa elimu ya dini kwa vijana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Masjid Kheir, Markaz ya Mombasa Zanzibar kwa kazi nzuri ya kutoa elimu ya dini kwa vijana.
Soma Zaidi