Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa China Nchini Tanzania Ikulu Zanziba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China pamoja na Switzerland kuendelea kuiunga mkono Zanzibar…
Soma Zaidi