Toggle navigation
Leave this field blank
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
Mwanzo
Ofisi ya Rais
Kwa Ufupi
Rais
Marais wa Zamani
Utawala
Baraza la Mapinduzi
Uongozi Ofisi ya Rais
Habari
Habari na Matukio
Picha
Video
Video 2
Machapisho
Hotuba
Mipango ya Utekelezaji
Machapisho
Ripoti
Bajeti
Blog
Mawasiliano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibaar.
16 Sep 2021
by Ikulu
News and Events
198
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuuswalia mwili wa marehemu.
12 Sep 2021
by Ikulu
News and Events
181
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya ramani ya Bara la Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership S.Africa
09 Sep 2021
by Ikulu
News and Events
182
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospita hiyo.
01 Sep 2021
by Ikulu
News and Events
160
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto za Skuli hiyo
01 Sep 2021
by Ikulu
News and Events
178
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba.
01 Sep 2021
by Ikulu
News and Events
267
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
31 Aug 2021
by Ikulu
News and Events
165
Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Pemba.
31 Aug 2021
by Ikulu
News and Events
207
Soma Zaidi
Previous
1
132
133
134
135
136
Next
Leave this field blank
Tumia Barua Pepe Kujiunga
Get all latest content delivered to your email a few times a month.
Machapisho
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA NA MAABARA KWENYE KITUO CHA AFYA MAKUNDUCHI
17 Jan 2024
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI, KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
11 Jan 2024
RISALA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK HUSSEIN ALI MWINYI YA KUUAGA MWAKA 2023 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2024
31 Dec 2023
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA HAFLA YA KILELE CHA SHEREHE ZA MWEZI WA SHUKURANI NA FURAHA KWA WALIPA KODI KATIKA UKUMBI WA HO
30 Dec 2023
Video
Ikulu Zanzibar
31.92 min
English
Swahili