Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ili kuweza…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na MBLM Dkt.Hussein Ali Mwiny ameungana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan katika kuuaga mwili wa Marehemu Elias John Kwandikwa  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo ameungana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbali mbali wa Kitainfa…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ushirikiano uliopo kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu kati ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya Msumbuji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya Msumbuji.Dk.…

Soma Zaidi