Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa wabunifu na kuja na njia mbadala ya kutafuta fedha nje ya Bajeti ya Serikali, ili kufanikisha utekelezaji wa mipango ya Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa wabunifu na kuja na njia mbadala ya kutafuta fedha nje ya Bajeti ya Serikali,…
Read More