Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha watendaji mbali mbali aliowateua hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha watendaji mbali mbali aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa zao.Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu…

Soma Zaidi

Balozi wa China nchini Tanzania, Zhang Zhisheng amesema msaada wa Vyerahani uliotolewa na Ubalozi huo kwa Jumuiya ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation”

Balozi wa China nchini Tanzania, Zhang Zhisheng amesema msaada wa Vyerahani uliotolewa na Ubalozi huo kwa Jumuiya ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation”, unalenga kuwawezesha wanawake wa Zanzibar…

Soma Zaidi

Nchi za Kiafrika ziweze kutekeleza vyema mageuzi ya kiuchumi na kukuza ustawi wa wananchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ili nchi za Kiafrika ziweze kutekeleza vyema mageuzi ya kiuchumi na kukuza ustawi wa wananchi, ni lazima kuwa…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kujesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kujesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.Rais…

Soma Zaidi