Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa watendaji Serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na Serikali iweze kutekelezeka.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa watendaji Serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na Serikali…
Soma Zaidi