Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu za Mahakama

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yatakayofanyika (23.01.2022) hapa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa katika kuimarisha mashirikiano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kukuza sekta ya mawasiliano.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa katika kuimarisha mashirikiano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More