Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi zinazowasafirisha Mahujaji pamoja na Masheikh na Walimu kuendelea kuwapa moyo Waislamu waliokosa fursa ya kwenda Hijja kutokata tamaa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi zinazowasafirisha Mahujaji pamoja na Masheikh na Walimu kuendelea kuwapa moyo Waislamu waliokosa…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF),  ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza utalii pamoja na urithi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF), ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza…

Soma Zaidi