Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) kwa ziara ya siku tatu.Katika Uwanja wa Ndege…

Read More