Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kuimarisha amani kwa azma ya kuleta maendeleo nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kuimarisha amani kwa azma ya kuleta maendeleo nchini.Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali iko tayari kupokea msaada wa chanjo COVID -19 pamoja na misaada mbali mbali ya kitabibu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali iko tayari kupokea msaada wa chanjo COVID -19 pamoja na misaada mbali mbali ya kitabibu kutoka Shirika…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu wanne waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kijiji cha Buyubi Mkoani Shinyanga

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu wanne waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) kuwasadia wastaafu ili waweze kuishi vizuri baada ya ustaafu kwao.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kutambua kwamba madhumuni ya mfuko huo ni kuwasadia…

Soma Zaidi