Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa chanjo ya kujikinga na ugonjwa wa corona ambayo inatarajiwa kutolewa nchini ni hiari.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa chanjo ya kujikinga na ugonjwa wa corona…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani kwa Viongozi na wanachama wa Chama cha M Mapinduzi Wilaya Kaskazini ‘B’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani za dhati kwa Viongozi na wanachama wa Chama cha M Mapinduzi…

Soma Zaidi

Alhadj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumini wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumin wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto…

Soma Zaidi