Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Maputo nchini Msumbiji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi za…
Soma Zaidi