Serikali imesema itafanya kila juhudi kuhakikisha inapata fedha zilioko mikononi mwa Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inapata fedha zilioko mikononi mwa Kampuni ya Masterlife Microfinance…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wafanyabiashara kuhakikisha kwamba bei za bidhaa hazipandishwi kwa sababu ya mwezi mtukufu ujao wa Ramadhani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wafanyabiashara kuhakikisha kwamba bei za bidhaa hazipandishwi kwa sababu ya mwezi mtukufu ujao wa…

Soma Zaidi