RAIS MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni.Hafla hiyo ya Uapisho Imefanyika katika Viwanja…
Soma Zaidi