RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akipiga kura yake kumchagua Rais wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani, zoezi la upigaji kura lemefanyika leo katika Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya

DK.SHEIN AMEPIGA KURA KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA BUNGI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi wanaowataka na wala wasiwe na hofu…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao

DK.SHEIN AMEWAPONGEZA NA KUWAAGA WAFANYAKAZI WA OFISI YA FARAGHA YA RAIS.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo ameagana na wafanyakazi wake wa Ofisi yake ya Faragha na kuwapongeza kwa kushirikiana nae kwa muda wote wa miaka…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Talib Ali Talib  alipowasili katka  Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar

MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM KIBANDAMAITI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika…

Soma Zaidi
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazee wa CCM wa Unguja na Pemba walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumpongeza na kumuaga na kumkabidhi zawadi

WAZEE WA CCM WAMEMUAGA DK. SHEIN.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia, ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar amesisitiza kwamba ataendelea kuwathamini Wazee wa CCM kwani walikuwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi funguo Bibi.Miza Haji Juma akiwa ni miongoni mwa Wananchi watakaoishi katika Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini

UFUNGUZI WA NYUMBA ZA MAKAAZI DUNDUA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema suala la umiliki wa ardhi hapa Zanzibar lilitokana na tamko la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Marehemu Abeid…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifuatilia risala ya Wasanii wa Vikundi Tisa vya Taarab Zanzibar, ikisomwa na Mwakilishi wa vikundi hivyo wakati wa Taarab rasmin aliyoandaliwa ya kumpongeza na kumuaga iliof

DK.SHEIN AMEPONGEZWA NA VIKUNDI VYA TAARAB VYA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana alikuwa mgeni rasmi katika taarab maalum iliyoandaliwa na vikundi mbali mbali vya Taarab vya hapa Zanzibar kwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya  Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WAANDISHI KUTOKA VYOMBO MBALI MBALI VYA HABARI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali inalenga kuhakikisha faida zitokanazo na rasilimali ya Mafuta na Gesi asilia zinachangia katika ukuaji…

Soma Zaidi