Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa

MKUTANO WA CCM GANDO.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaletea kiongozi mchapakazi…

Soma Zaidi

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AMEWAPA ZAWADI WANAFUNZI BORA WA KIDATU CHA SITA NA CHA NNE ZANZIBAR.

SEIRIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba iliamua kuifanya elimu kuwa ni moja ya vipaumbele vya Serikali kwa kuiongeza Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kutoka TZS Bilioni…

Soma Zaidi

Jamuhuri ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

JAMHURI ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo hatua inayotokana na juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Soma Zaidi

UFUNGUZI WA JENGO LA SHEIKH THABIT KOMBO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa sekta binafsi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kukuza sekta ya biashara, ambayo hivi sasa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar kama ishara ya kupokea Maandamano yaliyopita mbele yake katika Uwanja wa Mao-Dze Dong katika kilele cha maadhimisho ya

TAMASHA LA 56 LA ELIMU BILA YA MALIPO.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake imeendeleza dhamira ya kutangazwa kwa elimu bure na kuziendeleza jitihada zilizofanywa na uongozi…

Soma Zaidi

UFUNGUZI WA NYUMBA ZA MAKAAZI “ZSSF MBWENI REAL ESTATE”

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wanunuzi wa nyumba katika eneo la mradi wa nyumba za makazi Mbweni, kuheshimu sheria za ujenzi wa nyumba…

Soma Zaidi

MKUTANO WA CCM WILAYA YA KASKAZINI A.

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wananchi wote wametakiwa kuwapigia kura za ndio wagombea nafasi za uongozi katika chama hicho ili kiendelee kuyatunza Mapinduzi ya Januari 12,…

Soma Zaidi

UFUNGUZI WA JUKWAA LA 11 BIASHARA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeamua kwa makusudi kushirikiana na sekta binafsi kwani sekta hiyo…

Soma Zaidi