RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza jinsi alivyopokea kwa furaha taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya kuendelea kukua kwa uchumi wa Zanzibar.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kuongeza kasi katika kuitumikia Wizara hiyo kutokana…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kuendeleza uadilifu na usimamizi mzuri wa kazi zao hasa kwa vile Wizara…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amewatoa wasi wasi wananchi waliokuwa hawajapatiwa vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi na kuwataka kuwa na subira kwani…
Soma ZaidiUONGOZI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ umetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya matumizi ya Kamera pamoja na manufaa ya Mradi wa Mji Salama…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kukutana moja kwa moja na wakulima ili kufanikisha…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza umuhimu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana ili kuzipatia…
Soma Zaidi