UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Vijana wa Halaiki na wahamasishaji walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya India Shri Ram Nath Kovind kwa kuadhimisha siku ya Jamhuri ya Taifa…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya sherehe za kutimiza…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria katika kulinda amani, utulivu na maisha…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na tisa (19) ambao bado walikuwa wakiendelea kutumikia vyuo vya Mafunzo vya Unguja…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema jukumu la kudumisha amani na usalama wa nchi ni la wananchi wote na sio la vyombo vya ulinzi na Usalama pekee.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wale wote wanaosingizia demokrasia na kuhakiribu kwa makusudi barabara wakiwemo vijana kuacha mara moja tabia…
Soma Zaidi