DK. SHEIN AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa ya Kusini Unguja na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliowateua hapo jana.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa ya Kusini Unguja na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliowateua hapo jana.
Soma ZaidiZanzibar na Comoro zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoria uliopo ambao una lengo la kuzidisha mashirikiano katika sekta za maendeleo kwa manufaa ya pande mbili hizo.Ahadi…
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi kwa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Serikali ya Indonesia ya kuja kuekeza Zanzibar kupitia Makampuni na Mashirika yake ya Umma kutokana…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ni matokeo ya kutafsiri kwa vitendo dhamira ya…
Soma ZaidiWAZIRI wa Nchi (OR) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Issa Haji Ussi ‘Gavu’ amesema uamuzi wa Serikali wa kuwaomba washrika wa maendeleo kutoka China kufanya mafunzo ya Upishi na Ukarimu…
Soma ZaidiJAMHURI ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo kwa kuleta wataalamu kutoka nchini humo kuja kutoa mafunzo hapa…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alisema serikali ina wajibu wa kuwatunza na kusimamia Afya za wananchi, kwa kuhakikisha wanaondokana na maradhi mbali…
Soma Zaidi